JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania kunufaika na umakamu wa Rais wa Baraza la Mazingira Duniani (UNEA)

Kuchaguliwa kwa Tanzania kuwa Makamu wa Rais wa Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA) kutaiwezesha nchi kunufaika na fedha kutoka Mifuko mbalimbali ya Mazingira duniani. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na…

Dk Mwigulu :Tanzania kuwa kitovu cha usafirishaji

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mipango inayoandaliwa na Serikali inalenga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha usafiri na usafirishaji wa bidhaa, viwanda na biashara katika ukanda wa Afrika. Amesema Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2026/2027…

Baraza la wafanyakazi siri ya utendaji bora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Baraza la Wafanyakazi la Sita la TMDA limefanyika kwa ufanisi tarehe 5-6 Februari, 2026 katika Manispaa ya Morogoro, kwa kuwakutanisha wajumbe wa Menejimenti na kutoka kwa Watumishi wa TMDA kwa lengo la kujadili na kukubaliana…

RC Iringa awataka wahandisi wa umwagiliaji kutanguliza uzalendo na weledi kulinda fedha za Serikali

📍NIRC Iringa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, amewataka Wahandisi wa Mikoa na Wasimamizi wa miradi ya Umwagiliaji nchini kufanya kazi kwa uzalendo wa hali ya juu na weledi ili kuhakikisha uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali unaleta tija…

Umeme vitongojini wachochea uchakataji mazao Katavi

📌Wakandarasi watakiwa kuacha maneno, ahadi na michakato wamalize mradi kwa wakati 📌Bilioni 57.3 kupeleka umeme vitongoji 358 mkoani Katavi 📌Ajira kupewa kipaumbele 📍Katavi Imeelezwa kuwa mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Awamu ya Pili B (HEP 2B) unakwenda kuongeza…