Latest Posts
Mradi wa TACTIC kuongeza fursa za kiuchumi kwa wananchi Korogwe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Korogwe Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza utekelezaji wa mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) unaolenga kukuza uchumi na kuboresha maisha ya wananchi katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe…
Wizara ya Madini yaomba bilioni 174.98/- kwa Bajeti ya 2026/2027
Wizara ya Madini imeiomba Bunge kuidhinishiwa jumla ya shilingi bilioni 174.98 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ili kuwezesha utekelezaji wa majukumu yake muhimu ya kusimamia na kuendeleza sekta ya madini nchini. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi bungeni jijini Dodoma…
Serikali : Huduma za fedha kidijitali zazidi kuimarishwa
Na. Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali kupitia Benki Kuu ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kuhakikisha huduma za miamala ya fedha kwa mitandao ya simu zinapatikana kwa gharama nafuu, kwa kupunguza gharama za miamala ya kielektroniki, kuimarisha miundombinu ya mifumo…
Serikali kupitia MSD wachochea utoaji huduma bora Hospitali ya Manyoni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Hospitali ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida imeongeza utoaji huduma bora za afya kutokana na uwepo wa dawa na vifaa tiba vya kisasa vilivyotolewa na Bohari ya Dawa(MSD). Hayo yalibainika wakati wa ziara maalumu ya…
Kocha bingwa wa NCAA Austin Pillado kuongoza kambi maalumu ya kuogelea Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kuunga mkono dhamira ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ya kuendeleza michezo yote nchini kwa vitendo, Shule ya Kimataifa ya Monti International School imetangaza kuandaa tukio kubwa la…





