Makamu wa Rais awasili JNICC kushuhudia utiaji saini leseni za utafutaji mafuta na gesi
JamhuriComments Off on Makamu wa Rais awasili JNICC kushuhudia utiaji saini leseni za utafutaji mafuta na gesi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius John Ndejembi amewasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, kushiriki hafla ya utiaji saini leseni za utafutaji wa mafuta na gesi katika vitalu vya Mnazi bay north, West Songo songo, Eyasi wembere na Lindi – Mtwara. Tarehe 28 Oktoba 2026.