Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DkSamia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Mnazi mmoja mkoani Lindi wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Mtwara tarehe 01 Desemba, 2022.