Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Rais wa  Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)Dkt.Akinwumi Adesina (wa tano kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika mazungumzo hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihudhuria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinwumi Adesina, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao,katika mazungumzo hayo Viongozi wa Wizara ya Fedha Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walihuduria.

By Jamhuri