Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kumuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.