Rais Dkt. Samia awasili Dar akitokea Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya (SGR)
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia awasili Dar akitokea Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya (SGR)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Stesheni ya Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya umeme ya (SGR) tarehe 22 Januari, 2025.