Rais Dkt. Samia azungumza na viongozi mara baada ya kuwaapisha Majaji Ikulu Dodoma
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia azungumza na viongozi mara baada ya kuwaapisha Majaji Ikulu Dodoma
Majaji wa Mahakama ya Rufani wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Januari, 2025.