Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 16, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia aenda Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na wanachama G20
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia aenda Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na wanachama G20
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20. Rais Dkt. Samia amealikwa na Rais wa Brazil Mhe. Luiz Ińacio Lula da Silva ambapo pamoja na mambo mengine, atashiriki mijadala inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika mapambano dhidi ya njaa na umasikini, kuchochea maendeleo endekevu na matumizi ya nishati mbadala.
Post Views:
106
Previous Post
Bondia Jake Paul amkanda Mike Tyson
Next Post
IGP Wambura awahakikishia usalama kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa
Wananchi wapongeza kasi ya Jeshi la Polisi katika kuwashughulikia wahalifu
FIFA yathibitisha kuwa Saudi Arabia itaanda Kombe la Dunia 2034
Historia nyingine yaandikwa Mradi wa Imeme wa Julius Nyerere (JNHPP)
Matukio 7,000 ya ukatili yameripotiwa Pwani -RMO Ukio
Rais pia ni Mwenyekiti wa SADC-Organ Samia ashiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa asasi hiyo
Habari mpya
Wananchi wapongeza kasi ya Jeshi la Polisi katika kuwashughulikia wahalifu
FIFA yathibitisha kuwa Saudi Arabia itaanda Kombe la Dunia 2034
Historia nyingine yaandikwa Mradi wa Imeme wa Julius Nyerere (JNHPP)
Matukio 7,000 ya ukatili yameripotiwa Pwani -RMO Ukio
Rais pia ni Mwenyekiti wa SADC-Organ Samia ashiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa asasi hiyo
Bandari ya Dar es Salaam yavutia mataifa ya Ulaya, Asia na Afrika
Waziri Dkt. Gwajima: Msibweteke na elimu mliyoipata
Serikali yaiagiza WHI kuzingatia ubora kwenye miradi ya ujenzi unaoendana na thamani ya fedha
Let Matampi na Coastal Unioni lugha gongana
Rais Mwinyi azindua Rasimu ya Dira ya 2050
Arusha wamshukuru Rais Samia
Miaka 30 jela kwa kumbaka mtoto mlemavu wa kusikia na kuongea
Profesa Janabi, shujaa wa afya atakayetufuta machozi ya Ndungulile
REA yaendesha mafunzo na kugawa majiko ya gesi kwa makundi maalum Bukombe
Maofisa wa ubalozi wa Uganda ‘wakunwa’ na maendeleo ya mradi wa EACOP hapa nchini