Rais Samia akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na ujumbe wa Finland
JamhuriComments Off on Rais Samia akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na ujumbe wa Finland
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo rasmi na ujumbe wa Finland ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Alexander Stubb, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Finland Mhe. Alexander Stubb wakati wakizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei, 2025.