Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtume Boniface Mwamposa mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es Salaam.