Rais Samia akiwaapisha Naibu Mawaziri wa Wizara mbalimbali
JamhuriComments Off on Rais Samia akiwaapisha Naibu Mawaziri wa Wizara mbalimbali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Naibu Mawaziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.