Rais Samia akizungumza na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho
JamhuriComments Off on Rais Samia akizungumza na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho wa Mawaziri pamoja na Naibu Mawaziri, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho iliyofanyika, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mawaziri pamoja na viongozi wa dini mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.