Samia akiwa kwenye ufunguzi wa mradi wa maji na usafi wa Mazingira wa Lamadi, Busega
JamhuriComments Off on Samia akiwa kwenye ufunguzi wa mradi wa maji na usafi wa Mazingira wa Lamadi, Busega
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ufunguzi wa mradi wa maji na usafi wa Mazingira wa Lamadi, Wilayani Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.