Taswira ya chanzo cha maji Butimba pamoja na Mtambo wa kutibu maji katika eneo la Butimba mkoani Mwanza. Mradi huo wa maji Butimba umezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 20 Juni, 2025.