Archives
Tumetimiza miaka 5
Leo ni siku yenye umuhimu wa pekee kwa Kampuni ya Jamhuri Media Limited, wazalishaji wa Gazeti la JAMHURI. Leo tumetimiza miaka mitano (5) tukiwa sokoni tangu tulipochapisha nakala ya kwanza ya Gazeti la JAMHURI siku ya Desemba 6, mwaka 2011….
Rais Magufuli epuka ushauri huu!
Wiki iliyopita nilikuwa katika kipindi cha ‘Malumbano ya Hoja’ kinachorushwa ‘live’ na ITV. Mjadala kadiri ulivyoendelea nilipata shida kidogo. Niliwaona baadhi ya wachangiaji wakizungumza lugha ya hatari, ambayo ninaisoma katika baadhi ya magazeti. Wanasema Rais John Magufuli anahujumiwa. Sitanii, neno…
Hongera Magufuli, ila sukari, matrafiki…
Wiki iliyopita nilipata fursa ya kuzungumza na mtu mmoja mzito. Mazungumzo yetu yalikuwa ni kwa maslahi ya Taifa. Tulizungumzia ustawi wa Taifa letu na mwelekeo wa nchi chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli. Mazungumzo yetu yalijaa nia njema,…
Dangote amponza Kairuki TIC
Wakati aliyekuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), ametajwa kutenguliwa uteuzi wake kwa kukataa kuchukua mshahara wa Serikali kwa miaka mitatu mfululizo, uchunguzi umebaini kuwa jipu la kusamehe kodi Kampuni ya Saruji ya Dangote ndilo lililomwondoa. Uchunguzi uliofanywa na…
Jinsi ya kupunguza mianya ya ukwepaji kodi
Katika matoleo yaliyopita, gazeti la JAMHURI limeandika kwa kina taarifa ya uchunguzi juu ya mbinu zinazotumiwa na SABmiller kutolipa kodi sahihi. Katika toleo la leo tunakuletea sehemu ya mwisho ambayo ni ushauri kwa Serikali jinsi inavyoweza kupunguza mianya ya kutolipa kodi sahihi….
Tufunge mlango wa misaada – 2
Wiki iliyopita sikuandika katika safu hii. Kwenye tanbihi, nilieleza kuwa ilikuwa nashughulikia habari nzito inayoendelea kuchapishwa na gazeti hili kuhusu Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutolipa kodi sahihi. Wiki moja kabla ya wiki iliyopita, ilikuwa nimezungumzia suala la nchi hii…