Archives
Tufunge mlango wa misaada – 2
Wiki iliyopita sikuandika katika safu hii. Kwenye tanbihi, nilieleza kuwa ilikuwa nashughulikia habari nzito inayoendelea kuchapishwa na gazeti hili kuhusu Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutolipa kodi sahihi. Wiki moja kabla ya wiki iliyopita, ilikuwa nimezungumzia suala la nchi hii…
Jaji Mkuu Chande atembelea JAMHURI
Jaji Mkuu wa Tanzania (CJ), Othman Chande (pichani) Ijumaa iliyopita alifanya ziara ya ghafla katika ofisi za Gazeti la JAMHURI zilizoko katika Jengo la Matasalamat Mansion, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Wahariri…
Tufungie mlango misaadaa ya wahisani
Zimepita wiki tano bila mimi kuandika safu hii ya SITANII. Nilikuwa na jukumu zito la kuuhabarisha umma juu ya mbinu za aina yake zinazotumiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) kuepuka kodi. Katika habari hizo nimefanya uchunguzi wa kina…
Msuya kikaangoni
Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu (mstaafu), Cleopa David Msuya ameingia kikaangoni kutokana na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) inayozimiliki Kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Darbrew Limited na Tanzania Breweries Limited kuingia katika kashfa ya ukwepaji kodi…
Kosa la Dk. Magufuli ni kusimamia sheria?
Nimesoma makala ya rafiki na kaka yangu Joster Mwangulumbi, iliyokuwa na kichwa cha habari: “Yako mengi tunayopaswa kuyatafakari”. Makala hiyo fupi, lakini kali, inamhusu mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. Aya moja inasema: “Rais Kikwete na…
Wakenya, NGOs wanavyoivuruga Loliondo
*Mkutano Mkuu wa Kata Oloipir watoa tamko
*Dk. Mary Nagu aandikiwa waraka maalumu