Unai Emery Kumrithi Mzee Wenger , Arsenal

Mtandao rasmi wa Unai Emery umeweka picha iliyo na ujumbe: “Nasikia fahari kuwa katika familia ya Arsenal.” Meneja huyo wa zamani wa Paris St-Germain manager anatarajiwa kuzinduliwa rasmi kama mrithi wa Arsene Wenger wiki hii. Klabu hiyo ya London bado haijathibitisha kuwa Emery ndiye kocha mpya. Lakini picha ya Emery iliyoambatana na ujumbe huo na…

Read More

LEO NI LONDON DERBY, TOTENHUM VS ARSENAL

Mahasimu wa kubwa kutoka jiji la London, Totenhum Spurs na Arsenal leo wanakuta kwenye mchezo wa Ligi kuu Uingereza, Totenhum watakuwa nyumbani ikiwakaribisha Arsenal majira ya saa 9: 30 mchana. Mchezo huo unaonekana kuwa mgumu kwa timu zote mbili licha ya Totenhum kupewa nafasi kubwa ya Kuibuka na ushindi katika Mchezo huo kutokana na Spurs…

Read More