Tag: chadema
Mahakama yamuachia huru mbunge Haonga
Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, Songwe imemuachia huru mbunge wa Mbozi (Chadema), Pascal Haonga na wenzake wawili baada ya kukutwa hawana hatia katika kesi iliyokuwa ikiwakabili. Haonga na wenzake, Wilfredy Mwalusamba (katibu wake) na Mashaka Mwampashi wameachiwa huru leo mchana…
ESTHER MATIKO APEWA ONYO MAHAKAMANI
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuonya Mbunge wa Tarime Mjini (Chadema), Esther Matiko, kwa kushindwa kuwasiliana na mdhamini wake. Onyo hilo limetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, katika kesi ya kufanya maandamano yasiyo halali inayowakabili viongozi tisa wa Chama…
Mwenyekiti CHADEMA Ashambuliwa kwa Mapanga na Mishale
MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mwikatsi wilayani Babati mkoani Manyara, Simon Lala (CHADEMA) ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa mishale na mapanga na watu wasiojulikana kwa kile kilichodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara,…
Mbowe na Wenzake Kutoka Kizimbani Leo
Viongozi sita wa CHADEMA wanatarajiwa kuachiliwa kutoka kizimbani baada ya kulipa dhamana, siku ya Alhamisi. Viongozi hao wa chama cha CHADEMA, akiwemo mwenyekiti Freeman Mbowe, walishtakiwa kwa uchochezi ,kuleta vurugu na kuandamana mwezi wa Februari mwaka huu. Alhamisi iliopita, mahakama…
CHADEMA WAWAJIBU SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA(TAHLISO) KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA AKWILINA
Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (Tahliso) limeibuka likitaka uchunguzi wa haraka ufanyike, huku likitaja makundi matatu yanayopaswa kulaumiwa kwa kifo cha mwanafunzi huyo. Mwenyekiti wa Tahliso, George Mnali alisema makundi hayo hayawezi kukwepa lawama kuhusu kifo cha…