BREAKING: Madiwani Wawili CUF Wahamia CCM

Chama Cha Wananchi (CUF) kimeendelea kupata pigo, baada ya madiwani wake wawili kujivua uanachama wa chama hicho na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).   Madiwani hao wa Kata ya Kilindoni, Hamad Musa na Hassani Mohammed wa Kata ya Jibondo wilayani Mafia wamesema wamefanya uamuzi huo baada ya kuridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na serikali ya…

Read More

PROF. LIPUMBA AMCHANA LIVE MALIM SELF

Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema chama hicho hakina nguvu kama awali kutokana na kutoshiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar. Akizungumza leo Februari 24, 2018 katika mkutano wa ndani na wananchama wa CUF kwenye ukumbi wa Makonyo Chake Chake Pemba, Profesa Lipumba amesema uamuzi huo wa…

Read More

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Imekubali Maombi ya Zuio la Muda kwa Bodi ya Wadhamini ya CUF

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali maombi ya zuio la muda kwa Bodi ya Wadhamini ya CUF inayomuunga mkono Mwenyekiti anayetambuliwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, Profesa Ibrahim Lipumba, katika shauri dogo namba 51/2017, lililowasilishwa mahakamani hapo na Mbunge wa Malindi (CUF), Ally Salehe. Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Wilfred…

Read More