Ethiopia yatia saini mkataba wa kumaliza uhasama na waasi wa Oromo Liberation Front – OLF

Serikali ya Ethiopia imetia saini muafaka wa amani na kundi moja kuu la waasi nchini humo Oromo Liberation Front- OLF, ili kukomesha uhasama nchini humo. Awali utawala huko Addis Ababa ulitangaza kuwa sasa kundi hilo halitaitwa la kigaidi kama ilivyokuwa ikijulikana hapo awali. Hayo yametangazwa muda mfupi uliopita na Runinga ya taifa nchini Ethiopia ambapo…

Read More

KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI ETHIOPIA AACHIWA HURU

Serikali ya Ethiopia inasema imemuachilia mwanasiasa maarufu wa upinzani baada ya zaidi ya mwaka mmoja kizuizini. Kuachiliwa kwa Merera Gudina mkuu wa chama cha Oromo Federalist Congress, kunafanywa kama sehemu ya jitihada ya kutafuta uwiano wa kitaifa. Siku ya Jumatatu mamlaka zilisema kuwa watafuta makosa kwa wafungwa 500. Pia mamlaka zimehaidi msamaha kuwasamehe wanasiasa kadha…

Read More