Tag: maendeleo ni kazi
MAENDELEO NI KAZI 11
Wiki iliyopita katika maandiko ya Mwalimu tuliona katika kitabu cha โMaendeleo ni Kaziโchama kimetoa maagizo ambayo yanatakiwa kutekelezwa na uongozi. Tuendelee Elimu ya watu wazima. Elimu ya watu wazima ni shughuli nyingine ambayo chama kimeshughulikia kutokana na agizo la mkutano…
