Mbowe Kususa Uchaguzi Unaua Upinzani

Kwa mara nyingine ndugu msomaji naomba kukupa heri ya mwaka mpya 2018. Najua utakuwa umeshangaa leo inakuwaje naandika juu ya uchaguzi na naacha kugusia suala la muhogo. Muhogo sitauacha. Chini ya makala hii naeleza fursa mpya iliyopatikana ya muhogo. Kelele nilizopiga zimeanza kuzaa matunda. Mungu anaipenda Tanzania na nitaeleza kwa kina kwa nini napigania muhogo….

Read More

CHADEMA: VIONGOZI WA DINI MSIOGOPE KUIKOSOA SERIKALI

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimewataka viongozi wa dini kuendelea kuikosoa serikali na wasitishwe na mtu yoyote kwani bila wao kusema jamii ya Watanzania itaangamia.   Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,  ametoa kauli hiyo wakati akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na mambo mbalimbali yanayotokea hapa nchini na hali ngumu…

Read More