
Mbowe Ampa Pole Rais Magufuli kwa Kufiwa na Dada Yake
August 19,2018 Rais Magufuli amepata msiba kwa kufiwa Dada wa yake Marehemu Monica Magufuli amabye amefariki akiwa na umri wa miaka 63, ameacha watoto 9, pamoja na Wajukuu 25. Viongozi mbalimbali wametoa pole kwa Rais Magufuli kupitia mitandao ya kijamii. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kupitia ukurasa ameandika “Kwa niaba ya Kambi Rasmi ya Upinzani…