Na Alex Kazenga   Kwa kipindi kirefu yamekuwepo malalamiko kutoka sehemu mbali mbali nchini watu wakilituhumu Jeshi la Polisi kutumia nguvu zilizopitiliza kwa raia wanapotuhumiwa kuwa na makosa. Hali hiyo kwa mara nyingi imeacha taharuki kwenye jamii huku baadhi ya…
Soma zaidi...