JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: Rais Magufuli

SHEREHE YA MWAKA MPYA YA MABALOZI WA TANZANIA ALIYOIANDAA RAIS MAGUFULI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwakaribisha Mabalozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam Ijumaa jioni Februari 9, 2018 kabla ya kuanza kwa hafla ya kukaribisha mwaka mpya kwa Mabalozi hao.  Rais wa…

RAIS MAGUFULI AFUNGUA KITUO CHA MAFUNZO MAALUM YA KIJESHI MAPINGA MKOANI PWANI

  Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga, Bagamoyo Mkoani Pwani. Wa Pili kushoto anayevuta utepe ni Naibu…

RAIS MAGUFULI AKATAA MJADALA WA KUONGEZA MUDA WA URAIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Januari, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey…

Rais Magufuli Amteua Alphayo Kidata Kuwa Balozi

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa Katibu Mkuu Ikulu, Bw. Alphayo Kidata kuwa Balozi, pia amemteua Meja Jenerali Mstaafu Simon Mumwi kuwa Balozi.

JPM Akutana na Kufanya Mazungumzo na Lowassa, Ikulu

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne, Januari 9, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Ngoyai Lowassa Ikulu jijini Dar es Salaam. Lowassa ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na alitekuwa…

Rais Magufuli Aanika Madudu Zaidi Wizara ya Madini

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameanika madudu mengine ya Wizara ya Madini akisema kuwa baadhi ya wateule wake katika wizara hiyo wamekuwa wazembe katika kutekeleza maagizo na kutimiza majukumu yao kama watendaji wa serikali….