KOCHA ALIYEIPA UBINGWA WA AFRIKA NIGERIA, ASAINI MIAKA MIWILI TAIFA STARS
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amemtangaza kocha Emmanuel Amunike kutoka Nigeria kuwa kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars”. Kocha huyo amefikia mwafaka na TFF ya kusaini kandarasi ya miaka miwili kuinoa Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Serengeti. Amunike aliwahi kutamba na kikosi cha Nigeria…