JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: TCRA

Muda wa usajili Vyombo vya Habari Mtandaoni waongezwa

Mamlaka ya kudhibiti Mawasiliano nchini, TCRA imeongeza muda wa usijili kwa wamiliki wa vyombo vya habari mtandaoni {Blog, Radio au TV} ambao bado hawajapata leseni ya utoaji huduma hiyo kuwa tayari wawe wamekamilisha usajili huo mpaka ifikiapo June, 30, 2018….

TCRA yafafanua Mtumizi ya Alama za Vidole Kwenye Usajili wa Laini

“Ndugu mteja katika kuboresha usajili wa laini za simu alama za vidole zitatumika kuanzia Februari 5, 2018. Kwa mawasiliano zaidi tembelea maduka yetu,”  ni ujumbe ambao watumiaji mbalimbali wa mitandao ya simu nchi wametumiwa kuanzia juzi kutoka katika mitandao…

TCRA YASHUSHA RUNGU KWA VITUO 5 VYA RUNINGA HAPA NCHINI

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA, imevipiga faini ya shilingi milioni 60 vituo vitano vya Runinga kwa kurusha taarifa ambazo zinakinzana na kanuni za utangazaji kwa kurusha habari ambayo inasadikiwa kuwa na viashiria vya uchochezi. Vituo vilivyokutana na rungu hilo ni…