Vanessa Mdee anatarajia kuachia albamu yake mpya mwakani chini ya Universal Music Group ambayo kwa sasa ndio wasimamizi wa kazi zake za muziki. Vee Money amesema baada ya kusaini mkataba huo sasa yuko tayari kuachia albam katikati mwakani na kwamba…
Soma zaidi...