JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: Wakorea Weusi

Polisi yatamba kuwadhibiti ‘Wakorea Weusi’ Mbeya

Na Thompson Mpanji, Mbeya Polisi mkoani Mbeya imetangaza kukidhibiti kikundi cha uhalifu cha vijana wanaojitambulisha kama ‘Wakorea Weusi’, wakijihusisha na kujeruhi watu na uporaji mali za watu. Kikundi hicho ni miongoni mwa makundi ya kihalifu yaliyoibuka hivi karibuni mjini hapa,…

Serikali yadhibiti ‘Wakorea Weusi’ Mbeya

Na Thompson Mpanji, Mbeya JESHI la Polisi limesema limefanikiwa kudhibiti matukio ya kiuhalifu yaliyokuwa yanadaiwa kusababishwa na kundi la vijana lililoibuka na kujiita jina la ‘Wakorea Weusi’ ambalo lilionekana kuwa tisho kwa maisha ya wananchi wa mkoa huu na mali zao….

‘Wakorea Weusi’ watishia amani Mbeya

Na Thompson Mpanji, Mbeya   KUIBUKA kwa kundi kubwa la vijana wanaofanya uhalifu bila woga huku wakijiamini kutenda makosa ya jinai hata kutishia maisha na mali za wakazi wa Jiji la Mbeya wanaojiita “Wakorea Weusi”, limezidi kutia hofu na kuwalazimisha wananchi walio…