JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: Waziri wa Fedha

SERIKALI KULINDA THAMANI YA SHILINGI KWA KUONGEZA THAMANI YA BIDHAA ZA NDANI

Serikali imeeleza kuwa inalinda thamani ya Shilingi kwa kudhibiti mfumuko wa bei ya huduma na bidhaa, kuhamasisha usafirishaji na uuzaji wa bidhaa zilizoongezwa thamani nje ya nchi kupitia program ya “Export Credit Guarantee Scheme” na kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima…

DK. MPANGO: WANAUCHUMI MAMBUMBU NDIO WAMETUFIKISHA HAPA TULIPO

Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji TIC na Mwenyekiti wa Kamati Uzinduzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wachumi Tanzania Economics Society Of Tanzania (EST) Bw. Godfrey Mwambe akipokea katiba ya Chama hicho kutoka kwa Vick Msima Meneja Msaidizi Idara ya…

MAWAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO WA TANZANIA NA RWANDA WAKUTANA KUJADILI MRADI WA UJENZI WA RELI YA ISAKA- KIGALI

Waziri wa Fedha na Mipango ya Uchumi wa Rwanda Mhe. Gatete Claver akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika Ofisi ya Waziri wa Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano kuhusu upatikanaji wa Fedha za mradi wa…

WAZIRI MPANGO: FEDHA ZA KIGENI MWISHO 31 DISEMBA 2017 HAPA NCHINI

Serikali imeweka zuio la matumizi ya fedha za kigeni katika manunuzi ya huduma na bidhaa mbalimbali nchini ili kulinda nguvu ya fedha ya Tanzania. Hatua hii imekuja kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe…