Ratiba ya 16 Bora Kombe la Dunia 2018

Alhamisi ya June 28 tumeshuhudia michuano ya Kombe la Dunia 2018 hatua ya makundi ikimalizika kwa Afrika kupoteza timu zote 5 katika hatua ya makundi kutokana na kukosa point za kutosha kuingia hatua ya 16 bora. Katika hatua hiyo ya makundi timu zote 5 za Afrika zimeyaaga mashindanl hayo kutokana na kukosa alama za kuwavusha…

Read More