
Yanga Yapania Kushinda Mechi zote Zilizobakia
Baada ya kusalimu amri kwa kuipa nafasi Simba ya kuutwaa ubingwa wa ligi msimu huu, Yanga wamesema watapambana kushinda mechi zote zilizosalia. Kupitia kwa Afisa wa Habari wa Yanga, Dismas Ten, ameeleza kuwa Yanga inahitaji heshima ya kushinda mechi zote zilizosalia ili kulinda heshima yao. Ten anaamini ushindi wa mechi zilizosalia utathibitisha kuwa wao ndiyo…