YANGA YAICHARAZA MLANDEGE 2-1

Yanga imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mlandege katika mchezo wa kundi B, uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Ushindi wa Yanga umepunguza kasi ya Mlandege ambayo ndiyo vinara wa kundi hilo wakiwa na pointi zao sita, na Yanga wanapanda hadi nafasi ya pili wakiwa na…

Read More

Simba, Yanga zijiandae Kimataifa

Kipenga cha kuashiria kuanza kwa mashindano klabu bingwa barani Afrika kimepulizwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikuacha kitendawili kwa vilabu vya Tanzania kama vitauvunjwa mwiko wa kuondolewa kwenye mashindano hayo hatua za awali. Wakizungumza na Gazeti la JAMHURI baada ya kutoka kwa ratiba ya mashindano hayo, makocha, wachezaji na watalamu wa…

Read More