Waziri Mhagama, Profesa Janabi mgombea wa ukurugenzi WHO Kanda ya Afrika wakiwasili kushiriki uchaguzi
JamhuriComments Off on Waziri Mhagama, Profesa Janabi mgombea wa ukurugenzi WHO Kanda ya Afrika wakiwasili kushiriki uchaguzi
Tazama jinsi Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama pamoja na Mgombe wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Prof. Mohammed Janabi walivyowasili katika makao makuu ya WHO, Geneva Uswisi tayari kwa ajili ya kushiriki kwenye uchaguzi huo leo Mei 18, 2025.