JamhuriComments Off on Waziri Mkuu akijibu maswali Bungeni
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Januari 29, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, bungeni jijini Dodoma, Januari 29, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu akiingia bungeni jijini Dodoma, Januari 29, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu. Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Kakulwa bungeni jijini Dodoma, Januari 29, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)