JamhuriComments Off on Zito amnadi mgombea ubunge Jimbo la Nyamagana
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimuombea kura mgombea ubunge wa chama hicho jimbo la Nyamagana, Esther Thomas wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Mirongo jimboni hapo, mkoani Mwanza, Oktoba 14, 2025