Bilionea Monaban wa CCM apata pigo

Mfanyabiashara bilionea Dk. Philemon Mollel, anayemiliki kampuni ya Monaban Trading and Farming Co. Limited, amepokwa kinu kilichokuwa mali ya Shirika la Usagishaji la Taifa (NMC) jijini Arusha. Pamoja na kunyang’anywa kinu hicho, Dk. Mollel ambaye ni kada na mfadhili wa Chama Cha Mapindizi (CCM), ametakiwa alipe Sh bilioni 16 za malimbikizo ya ada ya pango…

Read More

Mwendokasi usitufunze chuki

Kama hamfahamu, Mpita Njia, maarufu kama MN ni mtumiaji mzuri wa usafiri uendao haraka (mwendokasi) mara kwa mara anapokuwa katika Jiji la Dar es Salaam. Kwa takriban miaka miwili ambayo amekuwa mtumiaji mzuri wa huduma ya usafiri huo amezishuhudia tabia nyingi za watumiaji wa usafiri husika. Kama ukifanyika utafiti wa mabadiliko ya kitabia kwa watu…

Read More

Chanzo kipya kodi tril. 23/- hiki hapa

Wakati mjadala wa bajeti ya Sh trilioni 33 kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ukiendelea bungeni, JAMHURI limeelezwa kuwapo kwa chanzo kikubwa kipya cha mapato kilichopuuzwa kwa miaka takriban mitatu. Wataalamu wa masuala ya soko la mtandaoni wanasema Tanzania ikiwekeza katika uendelezaji wa soko la mtandao, inaweza kupata hadi dola bilioni 10 kama kodi, sawa na…

Read More

Ubakaji watoto wakubuhu Same

Matukio ya kubakwa watoto wa kike wenye umri chini ya miaka 18 katika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro yanaongezeka licha ya baadhi ya washitakiwa kufungwa jela. Taarifa zinaonyesha kuwa kati ya Januari, mwaka jana hadi Mei mwaka huu, mashauri 34 yamefunguliwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same. Washitakiwa watatu kati ya hao wamehukumiwa kifungo cha…

Read More

Upanuzi Bandari ya Dar kuongeza ufanisi

Serikali inaendelea kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ili kuongeza ufanisi katika kuhudumia shehena kubwa zaidi. Katika maboresho hayo magati 1-7 yanafanyiwa ukarabati pamoja na ujenzi wa gati jipya litakalohudumia meli zenye shehena ya magari. Maboresho hayo ambayo yako chini ya mradi wa Dar es Salaam Maritime Gateway Project (DMGP), yana umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya uchumi…

Read More

Tunahitaji utulivu mjadala wa bajeti

Alhamisi wiki iliyopita serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha iliwasilisha mapendekezo ya bajeti kuu kwa ajili ya mwaka wa fedha 2019/2020. Bajeti hiyo baada ya kuwasilishwa itajadiliwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao kwa mujibu wa taratibu watakuwa na fursa ya kufanya marekebisho kwa kadiri watakavyoona inafaa kwa kuzingatia masilahi…

Read More