Bomu la ardhi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amepata jaribio kubwa kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. “Siku moja baada ya kuingia ofisini, alijifungia ofisini kwake akasema ana shughuli nyingi hivyo asingeweza kumwona mtu yeyote. Ghafla, akaja mzee mmoja. Akamweleza msaidizi wake tukio la kusikitisha. Tukio…

Read More

Bibi mjane Dar amlilia Makonda

Serikali ya Mtaa wa Nzasa Somelo, Kata ya Zingiziwa, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam imetumia hila kumnyang’anya shamba la ekari tatu bibi mjane mwenye umri wa miaka zaidi ya 70. Shamba hilo ambalo limetenganishwa na Mto Nzasa, kipande kimoja kikiwa Wilaya ya Kisarawe na kingine Wilaya ya Ilala ni miliki ya Theresia Vingambudi…

Read More

Olduvai: Bustani ya ‘Eden’

Julai 17, 1959 Mary Leakey aligundua fuvu katika eneo linaloitwa FLK-zinj katika Bonde la Olduvai, Ngorongoro mkoani Arusha. Lilikuwa fuvu la zamadamu wa jamii ngeni, hivyo yeye na mume wake Louis Leakey waliita Zinjanthropus boisei. Hapa ndipo mahali kunakotambulika duniani kote kuwa ndiko kwenye asili ya binadamu. Kutoka hapa binadamu walisambaa katika sayari yote ya…

Read More

Sheria ya Takwimu funzo

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekamilisha mkutano wake wa bajeti wiki iliyopita. Ukiondoa mjadala wa bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020, masuala mengine kadhaa yalijitokeza bungeni. Mojawapo ya mambo hayo ni serikali kuwasilisha mabadiliko ya sheria ya takwimu, marekebisho yaliyolenga vifungu vya sheria hiyo kuhusu haki ya kuchapisha au kutoa taarifa…

Read More

NINA NDOTO (24)

Watu ni mtaji   Siku, wiki, miezi, miaka vinapita mbele yangu mimi kwanini nisimshukuru Mungu kwa kunilinda vyema? Nasema asante Mungu kwa zawadi ya Maisha. Naandika makala hii nikiwa na furaha sana kwa kufikisha mwaka mwingine. Ni furaha iliyoje. Asante Mungu kwa mara nyingine. Wanasema kushukuru ni kuomba tena. Tangu zamani ndoto yangu ilikuwa ni…

Read More

Wadaiwa sugu KCBL waanza kusakwa

Benki ya Ushirika mkoani Kilimanjaro (KCBL) imeanza msako dhidi ya watu binafsi, vikundi vya wajasiriamali na kampuni zinazodaiwa mikopo na benki hiyo baada ya kushindwa kufanya marejesho ndani ya muda kulingana na masharti ya mikopo. Msako huo unafanywa na benki hiyo kupitia Kampuni ya Tanfin Consultant E.A Ltd ya jijini Dodoma ambayo imepewa ridhaa na…

Read More