Singasinga ‘anyooka’

Sethi na Rugemarila wanakabiliwa na mashitaka 12 ya uhujumu uchumi, ikiwamo kula njama, kujihusisha na mtandao wa uhalifu, kughushi nyaraka, kutoa nyaraka za kughushi, kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, kutakatisha fedha na kuisababishia serikali hasara ya dola za Marekani  22, 198,544.60 na Sh 309,461,300,158.27. Watu wa karibu wa Harbinder Singh wameliambia Gazeti la JAMHURI kwamba ‘huruma’ ya…

Read More

Dk. Salim Ahmed Salim ninayemjua!

Vijana wengi wa leo hapa nchini kwetu hawajui juu ya mambo aliyoyafanya Mwanadiplomasia huyu mahiri Dk. Salim Ahmed Salim. Dhumuni la makala hii si kuandika wasifu wa Dk. Salim, bali kuwajuza vijana nini alichofanya akiwa na umri mdogo sana. Haijawahi kutokea tena katika historia ya nchi yetu mtu kuteuliwa kuwa balozi (siyo balozi wa nyumba…

Read More

Ardhi Temeke kikwazo

Zaidi ya kesi 100 za migogoro ya ardhi zimekwama kutolewa hukumu katika Baraza la Ardhi Wilaya ya Temeke kwa sababu ya kukosa printer na vifaa vingine muhimu. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, mmoja wa walalamikaji hao, Aidan Amon, ambaye ni miongoni mwa waliocheleweshewa hati za hukumu za kesi zao, amesema kesi yake Namba 17 ambayo aliipeleka katika…

Read More

‘Ukipita mwendokasi jela’

Wewe ni dereva? Umewahi kuendesha gari lako binafsi au pikipiki kwenye barabara ya mwendokasi? Sasa Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limeanza kufanya operesheni ya kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wote wanaokiuka taratibu. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amesema operesheni hiyo imeanzishwa kutokana na…

Read More

Tushirikiane kupigana vita ya uchumi nchini

Rais John Magufuli amekuwa akisisitiza mara kwa mara kuwa Tanzania na Watanzania si maskini. Na kwa sababu hiyo anawataka wananchi wasijione kuwa ni maskini, badala yake wajione kuwa ni matajiri kwa sababu wamejaliwa rasilimali zote. Tunaungana na Rais Magufuli tukiamini kuwa umaskini mkubwa wa Watanzania umo kwenye fikra, na kamwe si kwa rasilimali. Kwa muda…

Read More

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(38)‌

Maisha‌ ‌yanabadilika,‌ ‌watu‌ ‌wanabadilika‌   Siku‌ ‌si‌ ‌nyingi‌ ‌zilizopita‌ ‌nilikutana‌ ‌na‌ ‌rafiki‌ ‌zangu‌ ‌‌niliosoma‌ ‌nao‌ ‌kuanzia‌ ‌darasa‌ ‌la‌ ‌sita‌ hadi kidato cha‌ ‌nne.‌ ‌Ilikuwa‌ ‌siku‌ ‌ya‌ ‌furaha‌ ‌sana‌ ‌kwani‌ ‌kuna‌ ‌watu‌ ‌sikuwahi‌ ‌kuonana‌ ‌nao‌ ‌tangu‌ ‌tukiwa‌ ‌shule. Kila‌ ‌mtu‌ alionyesha‌ ‌uso‌ ‌wa‌ ‌furaha‌.‌ ‌ Siku‌ ‌hiyo‌ ‌tulianza‌ ‌kukumbushana‌ ‌maisha‌ ‌yetu‌ ‌ya‌ ‌nyuma‌ ‌huku‌ ‌tukiulizana‌ ‌wengine‌…

Read More