Kikosi cha AC Milan
Hatua ya 16 bora katika EUEFA Europa League imeshapangwa baada ya timu 16 kufuzu kutokana na mechi zilizochezwa wiki hii.
Kikosi cha Arsenal
Katika ratiba, mechi inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka duniani, ni AC Milan ambayo itakuwa mwenyeji katika mchezo wa kwanza dhidi ya Arsena.

Ratiba kamili hii hapa

By Jamhuri