JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kikwete awasilisha ujumbe maalumu wa Rais Samia nchini Guinea ya Ikweta

Rais Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasilisha Ujumbe Maalum ambao ulipokewa na Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Guinea ya Ikweta, Simeon Oyono Esono Angue,…

Wakili wa kimataifa Amstedam aingilia kati sakata la Lissu

Katika kile kinachoonekana kama hatua kubwa ya kidiplomasia na kisheria, wakili maarufu wa kimataifa, Robert Amsterdam, ametangaza kuingilia kati na kutetea haki za Tundu Lissu, mwanasiasa mashuhuri na mpambanaji wa demokrasia nchini Tanzania. Hii inafuatia kukamatwa kwa Lissu na viongozi…

RC Sendiga : Nahitaji orodha ya wawekezaji wote na shughuli zao Simanjiro

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbert Sendiga amemtaka Mkuu wa Wilaya hiyo Fakii Raphael Lulandala kuhakikisha anampatia orodha ya wawekezaji wote waliowekeza katika vijiji ndani ya wilaya hiyo ikiwa ni pamoja na kufamu kazi…

Dk Kellen-Rose Rwakatare achangia milioni 2.2 ujenzi wa madrasa Taqwa na choo cha msikiti Mlimba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ifakara MWENYEKITI wa Umoja wa Wazazi Mkoa wa Morogoro (UWT), Dk. Kellen-Rose Rwakatare ametoa shilingi milioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa madirisha na milango kwenye Madrasat Taqwa iliyopo msikiti wa Igima uliopo kata ya Mbingu…

Israel yatangaza kutanua mashambulizi Ukanda wa Gaza

Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz ametangaza kuwa jeshi lake linapanga kuongeza mashambulizi kwenye maeneo mengi ya Ukanda wa Gaza na amewaamuru wakaazi waondoke katika sehemu zenye mapambano. Ametoa tangazo hilo wakati jeshi la Israel likidai kuwa limeuzingira mji…