Author: Jamhuri
Simba yajiweka vizuri kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Simba SC kwenye nafasi nzuri kuelekea mchezo wa marudiano utakaochezwa wiki ijayo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Nsingizini FC ya Eswatini Ushindi wa jumla wa michezo…
Vijana Tanga washiriki usafi hospitali, wakimbia mbio fupi kuhamasisha upigaji kura
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Zaid ya vijana 200 mkoani Tanga wameshiriki mbio fupi maarufu kama jogging, wakitumia dakika 37.6 katika umbali wa kilomita 6.43, lengo likiwa ni kuhamasisha upigaji kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mbio hizo…
Pinda ‘awafunda’ wabunge Rukwa
Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Sumbawanga Mratibu wa Kampeni Kanda za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Kanda ya Magharibi na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amewafunda na kuwataka wagombea ubunge wa Mkoa wa Rukwa kuacha tofauti zao walizonazo. Pinda ametoa kauli…
TANESCO yaanzisha mpango wa kukopesha majiko sanifu ya umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Nyasa Baadhi ya wananchi mkoani Ruvuma wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuanzisha mpango wa kuwakopesha majiko sanifu yenye presha, ambayo yanatumia umeme kwa ufanisi mkubwa na…
Mwigulu alivyomwaga nondo mkutano Samia Sumbawanga mjini
Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Sumbawanga Mgombea ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amefuta tozo na kodi zaidi ya 200. Mwigulu ametoa kauli…
Auawa na mfuniko wa mtungi wa gesi ya kuzimia moto Bagamoyo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Mwanamke mmoja aitwaye Mengi Waziri (25), mkulima na mkazi wa Masiwa, Kata ya Dunda, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, amefariki dunia baada ya kugongwa kichwani na mfuniko wa mtungi wa gesi ya kuzimia moto uliolipuka…





