Category: MCHANGANYIKO
RC Mwanza: Hali ya usalama Mwanza ni ya utulivu
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Said Mtanda,amesema hadi saa 6 na dakika 18,Desemba 9,2025,hali ya usalama mkoani humo ni tulivu huku akiwatoa hofu wananchi juu picha mjongeo ‘clip’, zinazotembea mtandao zikionesha wanajeshi wakiwasikiliza wananchi. Mtanda amezungumza hayo leo Desemba 9,2025 ofisini…
Polisi :Hadi majira ya mchana Dodoma ni shwari
Katika Mkoa wa Dodoma, juzi Desemba 8, 2025 wananchi walifurika katika eneo la Soko Kuu la Majengo kununua mahitaji mbalimbali kufuatia hofu ya maandamano yaliyokuwa yametangazwa kufanyika Desemba 9. Hadi saa mbili usiku, soko hilo lilikuwa limejaa watu wengi waliokuwa…
Watanzania waaswa kudumisha amani, umoja na mshikamano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika, Watanzania wametakiwa kukumbuka siku hiyo kwa misingi ya haki, amani, mshikamano na umoja wa kitaifa, huku wakiepuka mivutano yoyote inayoweza kugawanya taifa, ikiwemo migawanyiko ya…
Kamishna NCAA awataka watumishi kufanyakazi kwa uaminifu kuenzi uhuru
Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Bw. Abdul-Razaq Badru amewataka watumishi wa mamlaka hiyo kufanya kazi kwa bidii, weledi, uamunifu, ubunifu na ushirikiano katika ulinzi wa rasilimaliza za Wanyamapori na misitu ili kuenzi uhuru wa Tanzania Bara…
Polisi : Picha zinazosambaa mtandaoni kuhusu maandamano si za kweli
Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza. Hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo…




