Kumiliki laini ya simu zaidi ya moja ni kosa

Na Bashir Yakub, JAMHURI MEDIA Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo hadi likukute ndipo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria si kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo hilo. Kanuni ya 37 ya GN. No.60/2023 Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Kuhusu Usajili wa Laini za Simu inakataza mtu kumiliki…

Read More

Usajiri wa Msonda unavyowapa kiburi Yanga

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Usajili wa mshambuliaji kutoka nchini Zambia Kennedy Musonda wakati wa dirisha dogo umewapa kiburi cha tambo viongozi wa klabu ya Yanga. Afisa habari wa klabu hiyo Ally Kamwe amesema uongozi wa klabu hiyo haukukurupuka kumsajili mshambuliaji huyo. Amesema uongozi uliyafanyia kazi kwa vitendo mapendekezo ya benchi la ufundi wa timu hiyo…

Read More

Baleke aibeba Simba, yaichapa Mtibwa 3-0

Mshambuliaji Mkongo, Jean Baleke amefunga mabao yote matatu leo Simba SC ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Manungu Complex, Turiani mjini Morogoro. Baleke aliyesajiliwa dirisha dogo kwa mkopo kutoka TP Mazembe ya kwao, Lubumbashi alifunga mabao yake dakika ya tatu akimalizia…

Read More