Siasa

Mama Anna Makinda awafunda madiwani uongozi wa kijinsia

SPIKA wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania mstaafu, Mama Anna Makinda ametoa elimu wa uongozi wa Kijinsia kwa madiwani wanawake wa Mkoa wa Dar es Salaam katika warsha ya siku moja iliyoandaliwa na TGNP Mtandao ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo madiwani hao. Akizungumza katika warsha hiyo, Bi. Makinda alisema suala la kuwajengea uwezo wanawake linapaswa kuanza mapema mara baada ...

Read More »

SERIKALI YA UINGEREZA YAFUATA NYAYO ZA JPM KATIKA MUSTAKABALI WA PASIPOTI ZA KIELETRONIKI

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Aliance News imesema kuwa kampuni ya De La Rue ilikuwa na mkataba na Uigereza wa miaka 10 lakini nchi hiyo imeamua kuvunja mkataba kati yake na kampuni hiyo. Imefahamika lengo la Serikali ya Uingereza kuvunja mkataba huo wa kutengenezwa hati za kusafiria ni kutokana na gharama kuwa kubwa za utengenezaji wa hati ...

Read More »

HABARI NAOMBA MPOKEE PICHA NA STORI YA MSTHIKI MEYA WA JIJI

Meya Mwita azitaka halmshauri za jiji la Dar es Salaam, kuajiri watumishi kwa ajili ya kuzika watu wasiokuwa na ndugu. MSTAHIKI Meya wa  Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amezitaka halmashauri zote  jijini hapa  kuajiri watumishi ambao watakuwa wanafanya kazi ya kuzika miili ya watu ambao watabainika kuwahawana  ndugu. Meya Mwita ametoa kauli hiyo jijini hapa leo kwenye kikao ...

Read More »

Rais Magufuli Avunja Atengua Uteuzi wa Mwenyekiti wa NHC na Kuvunja Bodi ya NHC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation – NHC) Bi. Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi, 2018. Pia Mhe. Rais Magufuli ameivunja Bodi ya NHC kuanzia leo. Uteuzi wa Mwenyekiti na bodi nyingine utafanyika baadaye. Gerson Msigwa ...

Read More »

HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA VIJIJI YAOMBWA KUTOA TENDA KWA VIJANA WENYE VIKUNDI

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kibaha Vijijini imeombwa kuwapatia tenda ndogondogo za ufundi vijana wenye vikundi kama ujenzi wa madarasa,ufyatuaji wa matofali,uchomeleaji wa madirisha au milango au kitu chochote,uaandaji wa chakula katika matukio mbalimbali ya halmashauri ili wajikwamue kiuchumi kwa kuwa uwezo wa kufanya kazi hizo wanao. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa ...

Read More »

WAZIRI MWAKYEMBE AWAONYA MAOFISA HABARI WA SERIKALI

Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Dr. Harison Mwakyembe amewaonya maofisa habari wa serikali ambao hawatangazi kazi za maendeleo zinazofanywa na serikali watachukuliwa hatua ikiwemo kufukuzwa kazi. Dr. Mwakyembe ametoa kauli hiyo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wananchama wa chama cha maafisa mahusiano serikalini unaofanyika mkoani Arusha, nakusema maafisa habari wa serikali ambao wanatumia vifaa walivyopewa kwa matumizi ...

Read More »

Barclays Tanzania marks the International Women’s Day

 Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (right), addresses some of the bank’s female staff during the function to mark the International Women’s Day in Dar es Salaam over the weekend.  Barclays Bank CIB Sales, Naomi Mafwiri Rhubera (left), gives a testimony during a function hosted by Barclays for its female staff members to observe this year’s International Women’s Day in ...

Read More »

MWENYEKITI UVCCM MKOA PWANI AWATAKA VIJANA KUKITUMIKIA CHAMA KIPATE USHINDI WA KISHINDO MWAKA 2019/2020

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Pwani (UVCCM),Charangwa Seleman Makwiro (katikati) akizungumza na viongozi na wajumbe chama hicho wa Wilaya ya Mafia mkoani Pwani leo,Kiongozi huyo yupo katika ziara ya kutembelea jumuiya za umoja wa vijana wa Mkoa huo. Kushoto ni Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mafia,Amina Tuki wengine kulia ni Mjumbe wa Baraza Kuu ...

Read More »

KUWAIT YAZINDUA KISIMA CHA 61 KATIKA WILAYA YA KIGAMBONI

Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania, Mh. Jasem Al-Najem (wa kwanza kulia) akizindua kisima cha maji katika shule Gezaulole. akiwa na mwalimu Mkuu Maryam Shaban (wa tatu kulia), na Sheikh Kaporo ambaye ni msimamizi wa ujenzi wa kisima wa kwanza kushoto  Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania, Mh. Jasem Al-Najem akihutubia baada ya uzinduzi wa kisima, kulia kwake ni Diwani wa Sumangila ...

Read More »

WAKULIMA 2000 WAONGEZA KIPATO KWA UJENZI WA DARAJA LA MIVARF

Wakulima 2000 kutoka vijiji sita vya, Kata ya Kiru Wilayani Babati wameongeza kipato kutokana na ujenzi wa daraja lililojengwa na Mradi wa Miundombinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za kifedha Vijijini (MIVARF), ikiwa ni sehemu ya malengo ya mradi huo katika kuongeza kipato nchini hususan maeneo ya vijijini. Wakulima hao wa Kata ya Kiru, inayojumuisha kaya 306, walishindwa kuongeza ...

Read More »

PICHA MBALIMBALI MEYA WA DAR ES SALAAM ALIVYOMTEMBELEA WAZIRI MSTAAFU LOWASSA

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita jana alimtembelea ofisini kwakwe na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Edward Lowassa ,ambapo wamejadiliana mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya jiji la Dar es Salaam.

Read More »

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AHAMISHIA OPERESHENI YA KUWABAINI WAAJIRI WANAOKIUKA SHERIA ZA KAZI MKOANI MOROGORO

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde, akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku Alliance One Mkoani Morogopro leo Machi 9, 2018. Mhe. Mavunde ameagiza waajiri 242 Mkoani Morogoro ambao hawajajisajili na Mfuko wa Fidia Kwa Wafanyakazi, (WCF) kufikishwa mahakamani mara moja. OPERESHENI ya nchi nzima kuwabaini waajiri ambao hawatekelezi sheria ya ajira ...

Read More »

WAUZA FIGO WAPIGWA MARUFUKU

CHAMA cha Madaktari Bingwa wa magonjwa ya figo Tanzania kimepiga marufuku biashara  ya uuzaji figo nchini na kueleza kuwa huo si utaratibu mzuri kwa madhara yake ni makubwa. Pia kimeelezea hali ya ugonjwa wa figo nchini na kwamba kwa mwaka huu wanatarajia kupandikiza figo kwa wagonjwa 50 huku kikielezea jitihada za Serikali katika kuhamasisha wananchi kuzuia ugonjwa figo. Hayo yamesemwa ...

Read More »

Magufuli Awanyooshea Kidole Wanaotaka Kuandamana

Rais Dkt John Magufuli amewaonya vikali watu wanaopanga kufanya maandamano nchini humo akisema kwamba hawataruhusiwa. “Wapo watu wangependa nchi hii kila siku tuwe na migogoro,” amesema Dkt Magufuli. “Wapo watu ambao wameshindwa kufanya siasa za kweli, wangependa kila siku tuko barabarani tunaandamana. Watu wao wanahamia huku, wao wanataka wabaki wanaandamana kule. Nitasema ngoja waandamane wataniona. Kama kuna baba zao wanawatuma, ...

Read More »

Mwanafunzi wa UDSM ‘aliyetoweka’ Awekwa Chini ya Polisi Ili Kubaini Ukweli

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu (TSNP) na mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam, Abdul Nondo ambaye alikuwa ameripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha, usiku wa kuamkia jana aliripotiwa kupatikana mkoani Iringa. Kamanda wa Polisi mkoani Iringa, Juma Bwire amethibitisha kupatikana kwa Nondo. Nondo alikwenda kituo cha polisi Mafinga baadaye kudaiwa kuzinduka kutoka usingizi akiwa hajui alipo, ...

Read More »

Rais Mstaafu JK akifinya Ugali msibani

  Pita pita yangu nikajikuta nimetokea kwenye page ya twitter ya Rais wetu Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akiandika post na kuweka picha za yeye na wazee wakila ugali kwenye sahani moja na bakuli moja la mboga. Mimi binafsi post yake nimeipenda kwani inaonesha huyu mheshimiwa ni mtu wa watu maana kuona Mtu aliyewahi kuwa rais kula chakula ...

Read More »

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYOADHIMISHWA MKOANI TABORA

Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete akimpongeza Mbunge wa Vitimaalum mkoa wa Tabora Munde Tambwe baada ya kupokea kiasi cha shilingi milioni moja kwaajili ya TIKA huku Mbunge huyo Munde Tambwe akiahidi mbele Mama Salma Kikwete kuchangia jumla ya mifuko Miambili ya Saruji kwa ajili ya Ujenzi wa Mabweni katika Shule za Sekondari za kata manispaa ya Tabora na ...

Read More »

Wakurugenzi wasiotenga fedha za mikopo kwa wanawake kufikia June kutumbuliwa.

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Mh. Ummy Mwalimu ametoa miezi mitatu kwa wakurugenzi wote nchini kuhakikisha wanatenga asilimia 4 za fedha za halmashauri kwaajili ya kuwapa wanawake mikopo ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuunga mkono juhudi za serikali katika uchumi wa viwanda. Amesema kuwa serikali haitasita kuwawajibisha wakurugenzi watakaokiuka maelekezo ya serikali yanayolenga kutekeleza ...

Read More »

HDIF YAWAWEZESHA WANAWAKE TANZANIA KATIKA NYANJA YA UBUNIFU

 Naibu Kiongozi  Mfuko wa  ubunifu wa Maendeleo ya watu kutoka nchini Uingereza (HDIF), Joseph Manirakiza akizungumza juu ya  kongamano hilo ili kutoa fursa kwa watu kujifunza namna wanawake wamefanikiwa katika masuala ya ubunifu na kuleta maendeleo katika jamii inayoiwazunguka.  Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia elimu msingi, Dk Avemaria Semakafu  akizungumza katika kongamano la Siku ya Wanawake ...

Read More »

NIDA KUZINDUA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA KIGOMA, RUKWA NA KATAVI

Kaimu Ofisa Uhusiano Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Rose Joseph akielezea mikakati ya kuzindua usajili wa vitambulisho Kigoma, Rukwa na Katavi sambamba na ndani ya mgodi wa Tanzanite. MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA)  inatarajia kuzindua usajili na utoaji wa  vitambulisho hivyo katika mikoa mitatu ya Katavi, Kigoma na Rukwa. Pia  NIDA  kwa kushirikiana na  Wizara ya Madini , imeanza  ...

Read More »
Show Buttons
Hide Buttons