Category: Siasa
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, CCM yasisitiza maadili, haki na kupambana na rushwa
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kinajiandaa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, kimesema kitaendelea kutekeleza majukumu yake kwa haki kwa kuzingatia Katiba na kujiepusha na vitendo vya rushwa. Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emanuel Nchimbi,…
NCCR-Mageuzi hatushirikiani na chama chochote katika Uchaguzi wa 2025
Na Magrethy Katengu, JamhuriMediaDar es Salaam CHAMA cha NCCR Mageuzi kimetangaza kutoshirikiana na chama chochote kile cha siasa kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 na kusisitiza kusimama wenyewe kwenyek kumpata Rais, wabunge na madiwani. Chama hicho mwaka 2015 waliungana…
Majaliwa: CCM ipo tayari uchaguzi 2025
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewahimiza wananchi wa Itilima kujipanga kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025 huku akisisitiza umuhimu wa kuendelea kuunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na…
Vilio watia nia CCM
*Ni wanaotaka kugombea udiwani na ubunge katika maeneo mbalimbali *Utitiri wa idadi ya wajumbe wapya wanaopiga kura za maoni yawatisha *Watalazimika kuweka mawakala matawini watakaosimamia kura zao *Mfumo mpya wa mchujo wa majina ya wagombea wageukamwiba kwao Na Mwandishi Wetu,…
Wasira : CCM haitakubaliana na azimio lolote litakalopitishwa na CHADEMA lenye lengo la kuvunja amani
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalopitishwa na Chama cha Demokrasia na Maenddeleo (CHADEMA) lenye lengo la kuvunja amani, umoja na mshikamano wa taifa. Amesema…
CCM yajivunia mafanikio yake ndani ya miaka 48
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Fadhili Maganya amesema Chama hicho kinajivunia miaka 48 ya kuzaliwa kwake ambapo maadhimisho yake yanatarajiwa kufanyika Februari 5 mwaka huu Jijini Dodoma kwa kuanza na kongamano Februari 2…