JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Waziri Mulamula aongoza ujumbe mkutano wa 24 SADC

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Liberata Mulamula ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Ushirikiano katika masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama wa…

Rais Samia amwapisha IGP Wambura

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati na Sekretarieti zitakazoshauri namna ya kuleta mabadiliko ya utendaji kazi wenye matokeo bora katika vyombo vya utendaji haki. Rais Samia amesema hayo katika hafla ya uapisho wa Viongozi…

Tanzania kutumia fursa za uwekezaji kutoka benki ya Afrexim

Na Peter Haule,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Lameck Nchemba amemuahidi Rais wa Benki ya Afrexim kuongeza mtaji wa ziada katika Benki hiyo ambayo Tanzania inamiliki hisa ili iwe na wigo mpana wa kuendelea kupata rasilimali fedha kwa ajili…