JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Mashindano ya LINA PG TOUR yaanza kurindima Dar, wachezaji 150 kushiriki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MASHINDANO ya gofu ya kumuenzi nyota wa zamani wa timu ya taifa ya wanawake, marehemu Lina Nkya, yameanza kwa kishindo katika Viwanja vya Lugalo, jijini Dar es Salaam, huku wachezaji 150 kutoka kona…

Chelsea yashinda Kombe la Dunia la Vilabu

Klabu ya soka ya Uingereza, Chelsea, imeshinda Kombe la Dunia la Vilabu kwa kuichakaza klabu ya soka ya Ufaransa, Paris Saint-Germain bao 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa usiku wa kuamkia leo nchini Marekani. Ushindi huo wa Chelsea kwenye dimba…

AZAM FC imemtambulisha Florent Ibenge kuwa Kocha Mkuu

Na Mwandishi Wetu AZAM FC imemtambulisha Florent Ibenge (63) kuwa Kocha Mkuu kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza kulingana na mafanikio. Ibenge, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) alikuwa Kocha Mkuu wa Al Hilal ya…

Dk Biteko : Tuwe na maono ya kuiona kesho yetu

📌Ni katika Bonanza la Wizara ya Nishati na Taasisi zake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuwa na maono ya kuweza kuona mbali hali itakayowasaidia katika…

Bunge la 12 lawaaga Watanzania kupitia Bonanza la kihistoria Dodoma

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wabunge, Viongozi wa Serikali, Mashirika binafsi na wananchi wameungana jijini Dodoma katika kilele cha Bonanza Maalum la Bunge maarufu kama Grand Bunge Bonanza ambalo kwa mwaka huu limefanyika kama tukio la mwisho kwa Bunge la 12. Bonanza…

Serikali yatenga Bmbilioni 11/- kuboresha miundombinu ya michezo shuleni

Na OR-TAMISEMI, Iringa NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinyijuma amesema Serikali imetenga Shilingi Bilioni 11 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuboresha miundombinu ya michezo katika shule 10, kati ya shule 56 maalum za michezo zilizopo…