JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

CHAUMMA kukuza uchumi asilimiasaa hadi tisa

Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema serikali ya chama hicho itahakikisha mchango wa sekta ya kilimo kwa uchumi wa nchi unakua na kufikia asilimia kati ya saba hadi tisa ndani ya miaka mitano ijayo….

ACT-Wazalendo yamwangukia Waziri Majaliwa sakata la malipo Mbagala

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Chama Cha ACT-Wazalendo kimemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,kulifuatilia sakata la malipo ya waathirika wa mabomu ya Mbagala na kuchukua hatua walioshughulikia suala hilo kwani kuna harufu ya udanganyifu,ubaguzi na uonevu. Rai hiyo imetolewa leo Februari 1, 2023…

Kevela: Tuache kuchangia michango kwa wanaotaka kuoa ama kuolewa

Yono Kevela ambaye ni mbunge mstaafu wa Jimbo la Wanging’ombe mkoani Njombe amewashauri Watanzania kuacha kuchangia michango mikubwa kwa watu wanaotaka kuoa ama kuolewa badala yake waongeze nguvu ya michango kwa watoto ili waweze kupata elimu. Amesema hayo wakati akizungumza…

Chongolo azitaka TAMISEMI,Wizara kumaliza haraka ujenzi wa stendi Moshi

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Daniel Chongolo ameziagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) kukutana kumaliza ujenzi wa stendi ya kisasa ya Ngangamfumini Manispaa ya Moshi. Chongolo ametoa agizo hilo jana…

WENGER AWATULIZA MASHABIKI WA ARSENAL, AIBABUA AC MILLAN 3-1

Baada ya Arsenal jana kuitandika AC Millan, kwa mabao 3-, uwenda mashabiki wa Arsenal wanaweza kutuliza mzuka wa kumlazimisha Mzee wenga kung’atuka kwenye timu ya Arsenal. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Danny Welbeck ambaye alifunga magoli mawili na goli la…